Shirika la Masista wa Ursula wa moyo Mtakatifu wa Jesu Mteswa |
Tunafanya utume katika maeneo yapy?
|
Kwa sasa wa-ursula wanafanya utume katika mabara tano:
Ulaya: Tuko katika Nchi ya Poland, Ufaransa, Italia, Finland, Ujermani, Urusi, Bielorusi, Ukraina
Amerika ya Kusini: Tuko katika Nchi ya Arjentina, Brazil, Bolivia
Amerika ya Kaskasini: Tuko katika Nchi ya Kanada
Afrika: Tuko katika Nchi ya Tanzania
Asia: Tuko katika Nchi ya Filipin |