Tanzania
Pasqua 2017
Kristo amefufuka!
Turudie maneno haya sio kwa mdomo tu, bali hasa kwa ushuhuda wa maisha yetu. Habari njema ya Ufufuko inapaswa kuonekana katika nyuso zetu, hisia zetu na mwenendo wetu na pia kwa jinsi tunavyowatendea wengine. ( Papa Francis)
Masista Waursula wanawatakia
Pasaka njema! |
|
Cristo è Risorto! Ripetiamolo con le parole, ma soprattutto on la testimonianza della nostra vita. La lieta notizia della Risurrezione dovrebbe trasparire sul nostro volto, nei nostri sentimenti e atteggiamenti e nel modo in cui trattiamo gli altri. ( Papa Francesco)
Buona Pasqua! Dalle suore orsoline della Tanzania |
Alleluia !